KANISA ANGLIKANA TANZANIA DAYOSISI YA VICTORIA NYANZA
Home
About Us
News Updates
Events
Contact Us
Login Panel
Staff Login
Admin Login
Home
Ugavi na Manunuzi
Idara ya Ugavu na Manunuzi
Gevosta Kyando
Mkuu wa Idara ya Ugavi na Manunuzi
Utangulizi
Idara ya manunuzi ni Idara maalum inayosimamia manunuzi na uuzaji wa mali za Dayosisi kulingana na utaratibu wa wa Idara ya fedha.
DIRA
Kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye Nyanja za mununuzi,utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Dayosisi.
DHAMIRA
Kufuatilia na kuhakikisha michakato ya ununuzi na taratibu zake zinafuatwa kwa mujibu wa sheria ya ununuzi.
LENGO
Kutoa utaalam na huduma za Ununuzi na Ugavi.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA MAUNUNZI
1. Kusimamia majukumu yote ya manunuzi.
2. Kushauri manunuzi ya Dayosisi.
3. Kuandaa orodha ya mahitaji ya Idara na vitengo.
4. Kuratibu manunuzi na uuzaji mali za Dayosisi.
5. Kufuatilia na kuhakikisha michakato ya ununuzi na taratibu zake zinafuatwa kwa mujibu wa sheria.